Te Quiero (feat. Marioo)

de Rayvanny

Umenchanganya oh mama na sikatai (sikatai)
Ulivo sexy sexy, i'm gonna die (i'm gonna die)
Uzuri kakupa mama ruksa njidai
Harufu karafuu ya Zanzibar marashi ya Dubai
Aloh

Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena pangea mwenyezi
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena pangea mwenyezi
Asa nibebe nikubebe
Domo zege nikatengede
Una utege, kiuno lege
Utetoboa shati na chuchu dede

Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Te que, te quiero

Sijajificha kwenye chaka lako umenificha we

Na nakupenda usiku mpaka kukicha
Unataka yangu nataka yako kila dakika
Na nnavopenda vitu yako aaahh
Usipotoka machoni mwengu sitamani ata kula
Nahisi raha, utamu
Unaikosha nafsi yangu
Na toka ujifungie moyoni mwangu
Honey nafurahi naona raha, utamu
Unaikosha nafsi yangu aaahhh
Hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa aahh
Aaah baby
Asa nibebe nikubebe
Domo zege nikatengede
Una utege kiuno ulege
Utatoboa shati na chuchu dede

Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero

Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero

Aaahhhh
I fall in love
I fall in love

Más canciones de Rayvanny