Now You Know (feat. Q Chief)

de Jux

najua ushaskia sana kama mapenzi yanauma
tena wengi walaghai wanaume sisi nomaa (no)
kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako we
watu tumeumbwa wengi tofauti duniani
tamaa za mwili haziwezi fanya nikuache we njiani
kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako we

ulitaka amani you're lucky now ulitaka furaha you're lucky now
ulitaka rafiki you're lucky now uliomba mpenzi I'm here for you
I'm here for you I'm here for you
ulitaka amani you're lucky now
ulitaka furaha you're lucky now
ulitaka rafiki you're lucky now
uliomba mpenzi I'm here for you
I'm here for you I'm here for you

wamekuvunja moyo wengi na vidonda havijapona
na hupendi wasanii juu umechoka na sinema
watu hawafanani mi na wao kama night and day nitabaki hapa na wewe
amani amani moyoni amani tangu nkutie machoni
nlikuona ndotoni ni kama ndoto
you don't have to worry uko na mimi
nitafuta chozi lako weee

You looking for a king you're lucky now
I'm looking for a queen I'm so lucky now
You're looking for a friend you're so lucky now
You're looking for a song I'll sing for you
I'll sing for you I'll sing for you
You're looking for a king you're lucky now
I'm looking for a queen I'm so lucky now
You're looking for a friend you're so lucky now
You're looking for a song I'll sing for you
I'll sing for you I'll sing for you

As long as I breath I'll be there
ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
And I'm only one call away ntakuwepo
ntakuwepo na weee na we
As long as I breath I'll be there
ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
And I'm only one call away ntakuwepo
ntakuwepo na weee na we

Más canciones de Jux