"SD2_103"

de Israel Mbonyi

Sasa naapa hakuna miungu n’taamini
Satajitia unajisi, chakula cha ufalme
Na sitauza urithi wa wokovu, anasa za kisasa
Nina uhakika waweza, waweza kuniponya
Hata usipo niponya, sitaabudu masanamu

Naelewa maji na moto nitapita
Kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe, sitaogopa kamwe
Mungu wangu, wanishika mkono
Wautuliza moyo wangu
Sina mashaka, wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yote, bado nitaamini

Si Mara ya kwanza kunitoa katika magumu
Nina ushuhuda: Zaidi ya moja, we ni mwaminifu
Nina historia maalum, we ni chemchem’ ya uzima

Nitaamini, bado nitaamini
Ulichosema nami, Yesu we
Nitaamini
Wewe ukiyajibu maombi yangu, nitakwamini
Hata usinijibu, Yesu we, nitakwanini
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya nitaamini
Hata usiniponye, bado nitaamini
Ukinijibu, nitaamini
Hata usinijibu, bado nitaamini
Ukibadilisha, nitaamini
Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu

Más canciones de Israel Mbonyi