24 Préludes, Op. 28, C. 166-189: 13 in F Sharp Major
de Harmonize
Na ye ni mwanadamu, na dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu, oh zamu, yangu itafikaa
Siwezi kana damu, kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, haya mateso aloniipa
Mmh! Tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeye eh
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe eh
Oh oh oh
Sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Atarudi, atarudi mama
Atarudi, anawapenda sana
Atarudi, atawaletea zawadi
Atarudi, eh atarudi mama
Atarudi, atarudi mama
Atarudi, anawapenda sana
Atarudi, atawaletea zawadi
Atarudi
Siwezi sema sijui tatizo, hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo, mara kumi usingenizalia
Mmmh, ingali mapenzi pekee, ningesema ni changamoto nijifunze
Ameniacha mpweke, na watoto niwatunze
Eh, ila siwezi laumu (ah), wenda yupo sawa (ah)
Kipato changu kigumu (ah), kutwa bumunda na kahawa (ah)
Eh! Ila mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeye eh
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe
Oh oh oh
Sina furaha naigiza ilimradi, watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema
Atarudi, atarudi mama
Atarudi, anawapenda sana
Atarudi, atawaletea zawadi
Atarudi, eh atarudi mama
Atarudi, atarudi mama
Atarudi, anawapenda sana
Atarudi, atawaletea zawadi
Atarudi
Más canciones de Harmonize
-
Kwa Ngwaru (feat. Diamond Platnumz)
Kwa Ngwaru (feat. Diamond Platnumz)
-
Zanzibar (feat. Bruce Melodie)
Zanzibar (feat. Bruce Melodie)
-
Zanzibar (feat. Bruce Melodie)
Visit Bongo
-
Bado (feat. Diamond Platnumz)
Bado (feat. Diamond Platnumz)
-
Mtaje
High School
-
I Made It (feat. Bobby Shmurda & Bien)
I Made It (feat. Bobby Shmurda & Bien)
-
Single Again
Single Again
-
Kainama (feat. Burna Boy & Diamond Platnumz)
Afro Bongo
-
Single Again
Visit Bongo
-
Wote
Made For Us
-
Disconnect (feat. Marioo)
Disconnect (feat. Marioo)
-
Amelowa
Made For Us
-
Single Again (feat. Ruger) - Remix
Single Again (feat. Ruger) [Remix]
-
Teacher
High School
-
My Way
Made For Us
-
Paranawe (feat. Rayvanny)
Paranawe (feat. Rayvanny)
-
Ujana
Ujana
-
Side Niggah
Visit Bongo
-
You Better Go
You Better Go
-
Mdomo (feat. Ibraah)
High School