Pene Pene
de Fally Ipupa
ayolizer
kukudekeza kama mtoto
furaha unafurahia
alafu geuka moto
machozi unalia
mwembamba mwenene
uwe na pesa kama dangote (dangote)
penzi halijali umasikini
laweza penda mtu yoyote
penzi sio somo
ukasome kwa kitabu
penzi limefanya harmonize
afukuzishe mwarabu
penzi oyoyo
limeleta kwa wanangu vita
siku hizi siwaoni
naishia kuwalike insta
hivo asiyekupenda
achana naye
anayekupenda
pendana naye
mambo stress
ya nyumba ndani
ebu cheza ufurahi
kama songi limekolea
asa inama
ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo)
oya inama (inama beiby)
basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo)
asa inama (inama beiby)
ebu pinda mgongo
kama tungi limepoza
oya inama basi pinda mgongo
toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins
ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps
mawé eleka wapi bébé na nga aza
Más canciones de Fally Ipupa
-
Likolo (feat. Ninho)
Tokooos II
-
Attente
Droit Chemin
-
Alliance
Formule 7
-
Mal accompagné
Formule 7
-
Associé
Droit Chemin
-
Amore
Tokooos II
-
SL
Formule 7
-
Afsana
Formule 7
-
Un prince à Southfork
Droit Chemin
-
Orgazy
Droit Chemin
-
Service
Power "Kosa Leka", Vol. 1
-
Mayday
Formule 7
-
Liputa
Droit Chemin
-
Eloko Oyo
Tokooos
-
MH
Formule 7
-
Aime-moi
Control
-
Humanisme
Control
-
8ème merveille
Tokooos II
-
Bloqué
Formule 7
-
100
Tokooos II Gold