Hossana (Remix)

de Evelyn Wanjiru

Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza
(Ee Bwana eeh Bwana)

Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
(Utukufu wote Baba tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
(Utukufu wote Baba tunakupa)
Mamlaka yote Baba
(Tunakupa)
(Utukufu wote Baba tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
(Utukufu wote Baba tunakupa)

Umekuwa Mwema kwangu
Nashindwa kueleza eh baba
(Ee Bwana eh Bwana)
Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Baba
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Mimi
(Ee Bwana eeh Bwana)
Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Baba
(Ee Bwana eeh Bwana)

Eeeh na mikono nainua
(Twainuwa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
Na sauti twazipaza
(Twainua)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
Na mikono nainua Kwako
(Twainua)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)
Utukufu Utukufu Utukufu Utukufu
(Tunakupa)
Utukufu wote Baba
(Tunakupa)

Más canciones de Evelyn Wanjiru