Asali
de Dadiposlim
Truliya ba tsi hu miliki
Ba we faraji we tsi dhiki
Leo ko zidjo wu riki yeah!
Ye kibula ndiyo na faliki
Tsombo mgu yanipve riziki
No ntsi shiriki yeah yeah!
Moyo wangu unadunda kasi
Akili ina wasiwasi
Mwili umekufa ganzi
We huni djipviya halisi
Huni kizaza halisi
Leo ndo handani
Kutema sitamani
Ulicho nipa ni siri
Tamu ladha asali kiganjani
Haki sitamani
Ulicho nipa ni siri
Tamu ladha asali kiganjani
Unipe dozi nitrulie
Nimalize mi uniue wewe
Kwenye mboni nakwona wewe
Mie kiti nikalie wewe
Eh he!
Unike mbiho ni yewuhe
Nike dja superman
(Superman superman)
Eh he!
Unike mbiho ni yewuhe
Nike dja superman
(Superman superman)
Kutema sitamani
Ulicho nipa ni siri
Tamu ladha asali kiganjani
Haki sitamani
Ulicho nipa ni siri
Tamu ladha asali kiganjani
Más canciones de Dadiposlim
-
Moyo
Mbelizi
-
Niviye
Mbelizi
-
Rohoni
Mbelizi
-
Mbelizi
Mbelizi
-
Kinaza
Mbelizi
-
Fitna
Mbelizi
-
Laila
Mbelizi
-
Taratibu
Mbelizi
-
Tabiri
Mbelizi
-
Solo
Mbelizi
-
Dandzi
Mbelizi
-
Bolingo
Mbelizi
-
Mwambo
Mbelizi
-
Fidjo La Coca
Mbelizi
-
Taratibu
Taratibu
-
Mola
Holo
-
Daïka
Twamaya
-
Nkalizi
Holo
-
Nivinge
Mpwitaka
-
Mwandzani
Twamaya